Header Ads

Arsenal Manager Unai Emery kupewa Million 45 za kusajili


#PepetoMichezoni Mkufunzi wa Arsenal Unai Emery amaeambiwa atapewa kitita cha pauni milioni 45 tu kwenye dirisha kubwa la uhamisho mwishoni mwa msimu. Mkufunzi huyo inasemekana anatakiwa kuwa katika nambari 5 bora ya jedwali la ligi.

Arsenal Manager Unai Emery kupewa Million 45 za kusajili. PHOTO | BANA


No comments:

Add your comment

Powered by Blogger.