Header Ads

Gor Pesa Onge... Gor haina pesa za kuwapeleka Angola kukabiliana ma Petro Atletico kwenye Kundi D


#PepetoMichezoni Baada ya kuitandika Zamelek mabao 4-2 kwewnye mashindano ya kombe la mashirikisho, kilabu ya Gor Mahia imesema haina fedha za kukidhi safari yakuwapeleka Angola kwa mechi ya pili ya kundi D kukabiliana na Petro Atletico.

Haya yamethibitishwa na mwenyekiti wa timu hiyo Ambrose Rachier na wameiandikia wizara ya michezo kuhusiana na kilio chao. Mechi dhidi ya Petro Atletico imeratibiwa kusakatwa mwezi huu tarehe 13 mjini Luanda Angola.

Picha kwa hisani.

Gor Matatani. PHOTO | Kwahisani

No comments:

Add your comment

Powered by Blogger.